88
Mfano wa 2
Soma namba zifuatazo:
Namba za
Kirumi
Namba kwa maneno Namba za
kawaida
1. DXI Mia tano kumi na moja 511
2. DCCXCIX Mia saba tisini na tisa 799
3. DCLXXIV Mia sita sabini na nne 674
4. DCCC Mia nane 800
5. CMXXVII Mia tisa ishirini na saba 927
6. CMLXXXIV Mia tisa themanini na nne 984
7. CMXXXI Mia tisa thelathini na moja 931
8. DL Mia tano hamsini 550
9. DCCXVI Mia saba kumi na sita 716
10. DCCXXVIII Mia saba ishirini na nane 728
Zoezi la 4
Jibu maswali yafuatayo:
1. Soma na andika namba zifuatazo kwa maneno:
(a) CMXC (b) DCCL
(c) CMXCVI (d) DLXXXIX
(e) DLXXVIII (f) DLXIV
(g) CMLXVIII (h) CMLXXI
(i) DCCLXV (j) CMLXX
(k) DCXCVII (l) CMXCVIII
Hisabati DRS 5 Final 26/10/2018.indd 88 15/11/2018 15:27
FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
PROPERTY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA GOVERNMENT
Ministry of Education, Science and Technology
FOR ONLINE USE ONLY