- N I 021 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA MTIHANI WA KUHITIMU KIDATO CHA NNE KI SWAHILI (Kwa watahiniwa Walioko na Wasiokuwa Shuleni) Muda: Saa 3 Mwaka : 2022 Maelekezo 1. K aratasi hii ina sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi na mbili (12). 2. Jibu maswali yote katika sehemu A _na B na maswali matatu (3) kutoka sehemu C. 3. Sehemu Aina alama kumi na tano (15), sehemu B alaina arobaini (40) na sehemu C ina alama arobaini na tano ( 45). 4. Zingatia maelekezo ya kila sehemu na ya kila swali . 5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha mtihani . 6. Andika Namba yako ya Mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu chako cha kujibia. Ukurasa wa ( kati ya 6
SEHEl\IU A (Alama 15) Jibu maswali yote katika sehemu hii. I. Chagua herufi ya jibu sahihi katika vipengele (i) hadi (x), kisha andika herufi ya jibu hilo kwcnye kijitabu chako cha kujibia. (i) --Kushindana na mtu aliyekuzidi kwa kila hali si busara." Mcthali zifuatazo zinashabihisha kauli hii isipokuwa: A Mwenye pesa si mwenzio B Nazi haishindani na jiwe C Chanda chema, huvikwa pete D Mwenye nguvu mpishe E Maji yakija kasi yapishe. ( ii ) Neno linaloingizwa katika kamusi kwa win o uli okolczwa. fasili, rnatamshi na aina ya neno hilo kwa pamoja huitwaje? A Kidahi zo B Kat egoria C Fasil i D Istilahi E Kitomeo. (iii) Kikundi cha maneno kinachoonesha jambo lililotendwa na mtenda katika se ntensi hujulikanaje? A Chagizo B Kitenzi C Ki v umi s hi D Shmnirisho E Nomino. (iv) Bainisha sentcnsi yenye vielezi zaidi ya kimoja katika sentensi zi fuatazo: (v) (vi) A Vitabu vyangu vyote vimeibiwa na watoto wako. B Mbuzi a li yepotea jana ameonekana leo asubuhi. C Shule ngapi zi naweza kushiriki ma shindano? D \Vengi walikuwa wanataka kwenda masomoni. E Wanakijiji hawa wamefanya uchaguzi kwa amani. Pande mbili zinazohusika katika lugha ya maandishi ni zipi ? A Mwandishi na msikilizaji B Msikilizaji na msomaji C Mwandishi na mzungumza_1·i D Mso .. · .., · maJ1 na ms1muliaji E Msomaji na mwandishi. Dhim ,~ ya vigelege le katika utendekaji wa sanaa z h . . . . . . . . ' ' a maones o 111 1 p 1 ? A Ku,shmk,sha na ku1ondolea hadhira udhia k ... B H . . . wa um s 1k1hza mtu mmoja aJ hJra kukata shaun JULI ya mwendo wa k . · C - , , . , , . -. az, ya sanaa za maonesho. Kuwcka ctla111,1 za llldpio-o ya kimuziki k t·k k . b - a I a az, ya sa naa , ·h D Kuonesha upeo W' l furaha nab d . za maonc s o. ' • ' ' uru ant ya kazi ya san , - E Kuonesha mbwembwe katika kazi .. . aa za maone sh o. ya sanaa za maone s ho . . -, ' likurasa wa 2 kat i \ a 1 -6
(vii) N .. . Jta ipi hutuJY · k .. ·k k h"f dh . k . 1· ·1 . . . k . za saut1 pamoja na vidokezo vya e l\.at1 ·a u I a 1 az1 ya as, 11 :-.1mul11.1 at, ya hizi? A Maandishi C Mitandao B Mikanda ya filamu E D Masimulizi. Kinasa sauti (viii) Jambo nan · h' . o I mu 1mu huzmgatiwa na mtunzi wa insha ya hoja ? A Lugh·t ye k' · c nye u mzani B Lugh a isiyo na mvuto C Lugha ya kisanaa D Lugh a ya kufikirisha E Lugha inayosifia. (ix) Zifuatazo ni kazi za alama ya uandishi nuktamkatn (;) isipokuwa: A Kuonesha kwamba vitu vinavyofuata viko katika orodha. B Kuunga mawazo maw ili tofauti katika se nt ens i. C Kuonesha kwamba kinachofuata ni ufafanu zi zaidi. D Kuunga mawazo mawili au zaidi katika se ntensi. E Kutenga vifun gu vya se nten si ambazo ni ndefu. (x) Kipi ni kipengele kinachohusu mjengeko wa kazi za fa sihi? A Mtindo B Muundo C Mandhari D Wahusika E Lugha. 2. Oanisha maana za tamathali za semi zilizo katika Orodha A na tamathali husika kutoka Orodha B, kisha andika herufi yajibu sahihi katika k.ijitabu chako cha kujibia. Orodha A Orodha B (i) Ushan°aaji b . wa jambo fulani , aghalabu huambatana na A Tashbiha alama ya mshangao. B Takriri (ii ) Upangiliaji wa man eno katika namna ya kupingana iii kusisitiza maw azo fulani . C Sitiari (iii) Ulinganishaji wa vitu viwili au zaidi vyenye sifa tofauti kwa D Tabaini kutumia viunganishi. E . Tashihisi (iv) Uhui shwaj i wa kitu ki sicho binadamu kupewa uwezo wa kutenda kama binadamu. t Niclaa 'l ( v') Urud iaji w~ ncno. herufi au silabi iii kusisitizajambo. ~~~--- , G 'ranakali sa uti Ukura sa wa 3 kati ya 6 ) I, I , i ; .
SEHEMU B (Alama 40) Jibu maswali yote katika sehemu hii. 3. · k. arufi zilizopo katika viambishi K wa kutumia mfano kwa ki la moja, fafanua taar1fa nne za 18 awali vya vitenzi vya Kiswahil i. 4. "Fasi hi simu li zi ni hai ." Thibitisha kauli hii kwa kutoa hoja nne na mifano halisi. 5. . . . h · do minne ya kirai nomino. (a) K wa kut um,a mfano mmoja kwa kila muundo, baims a mmn (b) Chang anua sentensi zifuatazo kwa njia ya jedwali: (i) Umma unalalamika sana. (ii) Simba ni mkali ila chui ndiye zaidi. 6. Wanafunzi wengi wa Kidato cha Kwanza huchanganya maana za tanzu na vipera vya fasihi simuliz i. Iii kuwaondolea mkanganyiko huo, onesha tofauti iliyopo kwa kila seti (a) - (d) kwa kutoa maelezo mafupi na mfano kwa kila moja. (a) Usha iri na Mashairi (b) Ma igizo na Vichekesho (c) Semi na Misemo (d ) Hadithi na Visasili 7. Uki wa kama Afisa Utalii katika eneo lako, pendekeza namna utakavyokuza na kueneza lugha ya Kiswahili kwa wageni katika vipengele (i) hadi (iv) na kutoa mfano kwa kila moja. (i) Bia shara (ii) Utawal a (i ii) Utamaduni (iv) Mafunzo 8. Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata: Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) hutumiwa kwa Jengo la kurahisisha utendaj i kazi; kuimari sha ufundi shaji ; uwazi na kuongeza ufanisi. TEKNOHAMA im etambu li wa na wataalamu _wa elimu kuwa ni m\1himu k~t-ika shughuli za ufundishaji na uj ifunzaj i. Len go Ia kutum1a TEKNOHAMA ni kurah1s1sha ufundishaji kwa sababu hudhihirishwa katika hali hali si kw a kutumia aina mbalimbali za TEKNOHAMA. Du nia ya sasa imebadilika; na mambo ya kij amii na kiuchumi yanategemea sa . · . . . . . . . . na m1tandao ya k mp yllt a K·itika kipmd1 cha m10n go rrntano 1ltyop1ta mpaka sasa matum,·z· T k .. 0 · " . . . . . ' 1 ya e noloJta ya Haba ri na Mawasiliano yamez1d 1 kuenea kat1ka el1mu kote ulimwen guni. Ukura s'a wa 4 kati·y!116
. . . . . . h. ·· k t m·a TEKNOHAMA 11, kuta111k1sha ufundishaji wa mada mbalimbali, mwaltmu ana 1taJ 1 u u 1 .. .. ·· b k e 1deleza uJ1funzaJ 1 kwa aJih ya kupata taarifa na habari kutoka vyanzo mba tm a 1 u 1 . unaompa mwanafunzi nafasi ya kati na kumpa mwalimu jukumu la kuwa mlezi na m~e~ez1 badala ya ule wa mjua vyote. Mwalimu wa karne hii anaweza kujihusisha na matumtzi Y~ TEKNOHAMA katika ufundishaji wake darasani' hali inayowez a k umpa ahueni katika kaz1 yake . Hata hivyo, katika nchi zinazoendel ea walimu wengi h awatumii TEKNOHAMA katika ufundishaji. Hii inatokana na teknolojia hii kuhitaji muda, fedha na maarifa ya ziada kwa watumiaji. Hayo kwa jumla yanakwamisha utumiaji wa teknolojia hiyo katika elimu. Hivyo . hatuna budi kuha kikisha tunakabiliana na mambo hayo ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika katika elimu ili kurahisisha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Maswali (a) Bainisha matumizi man ne ya TEKNOH AMA katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji kulingana na habari uliyosoma. (b) Fupisha habari hiyo kwa ma neno yasiyopungua 60 na yasiyozidi 70. SEHEMU C (Alama 45) Jibu maswali matatu (3) kutoka katika sehemu hii. 9. Chama cha Waandishi wa Vitabu Tanzania kimeanzisha shindano la uandishi wa in sha kuhusu Manufaa ya Sayansi na Teknolojia kw a Maendeleo ya Kiswahili . Ukiwa mion go ni mwa wanachama, a ndika insha isiyopungua maneno mia mbili (200) na isiyozidi maneno mia mbili hamsini (250) kuhusu s hindano hilo. USHAIRI Wasakatonge Malenga Wapya Mashai ri ya Chekacheka RIWAYA Takadini Watoto wa Mama N' tilie Joka la Mdimu 11 TAMTHILIYA Orodha ORODHA YA VITABU M .S. Khatibu (DUP) T AKILUKI (DUP) T.A. Mvungi (EP & D. LTD) Ben J. Han son (MBS) E. Mbogo (H.P) A.J. Safari (H.P) Ngoswc Pe nzi Kitov u cha Uzembe Kilio Chetu Steve Reynolds (MA) E. Semza ba (E SC) Medi ca l Aid Fo und ati on (TPH ) Ll ku rasa wa 5 ka ti ya 6
10 llme a{•i zwa . . . . . . . · k 0 11 ~ 1 mwaltmu wako wa somo la Kiswahtl1 kulunga sham moJa utakalogh an1 si u )a mahafali yenu k h. · · · · · ·d · ah ·1· ya u 1t1mu Kidato cha Nne. Lengo la sham hilo 111 kuwasa1 1a w 1 1mu kuboresha maish · d. · k k k ·k . . ' .. ' a yao ya baadaye. Ch agua mashairi matatu k wa kt la 1wani uto a au a dnvani mb11t uliz k. · h · · I k osoma 1sha eleza mafunzo utakayoyajumu isha ka t1k a s am a o . 11 . "Matatizo a · ,, · · · . , · h Y mwanaJam11 huletwa na mwanajamii mwenyewe. Th1b1t1 s ha use m1 uu kwa kuloa hoja ta tu k k·1 wa I a nwaya kati ya riwaya mbili ulizosoma. 12. "U'i n · . . J nt chanzo cha maendeleo duni katika jamii." Kwa kutumia wahus1ka watatu kwa kila tarnthtl1ya one sh· ·· · .. · · · · k · · . . ' a J 11181 UJmga wao ulivyozorotesha maendeleo kat1ka Jamil zao upitia ta mthihya mbili ulizosoma. Ukura su wa 6 k· . at1 ya 6